
Miroslav Klose amefunga bao lake la 15 akiichezea Ujerumani na kulazimisha sare ya 2-2.
TIMU ya Taifa ya Ghana almanusura iibuke na ushindi dhidi ya Ujerumani, lakini mechi hiyo imemalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Ujerumani wakitoka nyuma wamefanikiwa kuvuna pointi moja mbele ya Ghana walioonekana kucheza vizuri kwa dakika zote 90.
Sarakasi juu! Miroslav Klose akishangilia bao lake.
Haamini: Mlinda mlango wa Ghana , Fatau Dauda akiwa na hasira baada ya Ujeruman kusawazisha na matokeo kuwa 2-2
Mario Goetze (katikati) akiwapita mabeki wawili wa Ghana na kuifungia Ujerumani bao la kuongoza.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment