Furaha: Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi akishangilia bao la ushindi.
TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kupata ushindi wa taabu wa bao 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Iran.
Bao hilo pekee la ushindi limefungwa na mshambuliaji wa FC Barcelona, Lionel Messi katika dakika ya 90 ya mchezo huo.
Bao hilo pekee la ushindi limefungwa na mshambuliaji wa FC Barcelona, Lionel Messi katika dakika ya 90 ya mchezo huo.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment