Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 11 June 2014

BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI AJITAMBULISHA.

IMG_3362Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi wa Marekani  nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_3391Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Marekani  nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_3395Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na  Balozi wa Marekani  nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress (kushoto) baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.


CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment