Pages

Pages

Pages

Monday 12 May 2014

WAUGUZI WASHEREHEKEA SIKU YAO MJINI ARUSHA

1 (7)Baadhi ya wauguzi waliohudhuria sherehe za siku ya wauguzi duniani wakifuatilia kwa makini Hotuba ya mgeni rasmi,rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mjini Arusha leo (Picha na Freddy Maro)2 (7)Baadhi ya wauguzi wakila kiapo cha uaminifu na kutunza siri za wagonjwa wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo.

CHANZO FULL SHANGWE BLOG

No comments:

Post a Comment