Pages

Pages

Pages

Wednesday 21 May 2014

WAJASIRIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA DAR

KUNDI la walemavu, wajasiriamali na  wafanyabiashara ndogo ndongo, jana May 20, 2014 wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa saa tatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam.
CHINI FUATILIA PICHA ZA TUKIO HILO. 
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
2 (17)3 (10)6 (4)9 (1)10 (2)1 (17)

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment