Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 23 May 2014

URUGUAY WAPUMUA, LUIS SUAREZ KUWAVAA ENGLAND KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI

Surgery: Suarez faces a race against time to be fit for the World Cup after going under the knifeUpasuaji: Suarez anatakiwa kuimarika kwa haraka kuelekea fainali za kombe la dunia baada ya kupigwa `kisu`  goti lake.
 LUIS Suarez ana matumaini ya kuwakabili England katika mchezo wa hatua ya makundi ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti.
Maofisa wa Uruguay wamesema mshambuliaji huyo wa Liverpool alipata majeruhi katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu soka nchini England dhidi ya Newcastle.
Nyota huyo mwenye miaka 27 alilitetemesha taifa lake baada ya kukimbizwa hospitali kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment