Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 16 May 2014

TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA SH .BILION 151 KUTOKA SWEDEN

pix 1 (2)pix 2 (2)
Waziri wa Fedha  Saada Mkuya (kulia)  na Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) wakiweka saini katika mkataba wa  programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi Bilioni 151 ,jana jijini Dar es Salaam.
pix 3 (1)
Waziri wa Fedha  Saada Mkuya (kulia)  akibadilishana mkataba na Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) baada ya  kutiliana saini mkataba wa  programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi Bilioni 151 ,jana jijini Dar es Salaam.
pix 5 (1)
Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) akajadiliana jambo na Waziri wa Fedha  Saada Mkuya (katika) na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa, baada ya  kutiliana saini mkataba wa programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi Bilioni 151 ,jana  jijini Dar es Salaam.( Picha Zote na Lorietha Laurence-Maelezo)


 CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment