Pages

Pages

Pages

Friday 9 May 2014

SIYO KILA ALIYE STENDI NI MSAFIRI...


 Naam, siyo kila unayemuona stendi ni msafiri, na siyo kila anayekimbilia mlango wa basi anataka kupanda. Kila mmoja ana shughuli yake. Hapa ni Singida, stendi kuu ya mabasi ya mikoani.

Daniel Mbega

No comments:

Post a Comment