Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 20 May 2014

SIKU YA UANUWAI WA UTAMADUNI DUNIANI KUADHIMISHWA MEI 21 KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

PIX 2 UANUWAIKatibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga     akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 21 Mei kila mwaka leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Maendeleo ya Utamaduni Pro. Hermas Mwansoko.
PIX 3 UANUWAIKatibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga Akifafanua jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani ambayo mwaka huu yataadhimishwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mei 21.  
(Picha na: Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini WHVUM)
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment