Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday, 13 May 2014

SEKTA YA UTAMADUNI KUDUMISHA USHIRIKIANO BAINA YA TANZANIA NA CHINA

PIX1
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga(kulia) akiteta jambo na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China nchini Liu Dong walipotembelea ofisi za Wizara hiyo kuwatambulisha wasanii wa kikundi cha sanaa cha Yunnan Arts Troupe kutoka China leo jijini Dar es Salaam.
PIX2 (2)Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Micherzo Prof. Hermas Mwansoko akielezea jambo wakati wa hafla ya kuwakaribisha wasanii wa kikundi cha Yunnan Arts Troupe kutoka China leo jijoni Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi Sihaba Nkinga na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China Lui Dong.PIX3 (1) Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akimkabidhi zawadi ya mchoro wa Kiutamaduni Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa Chija hapa nchini Bw/. Lui Dong walipotembelea ofisi za Wizara ya habari leo jijini Dar es Salaam. 
PIX4Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga(mwenye suti ya rangi ya maziwa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa kundi la YunnanArts Troupe kutoka China pamoja na maafisa kutoka Ubalozi wa China nhini Tanzanaia. 
Picha na Frank Shija
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WHVUM

CHANZO FULL SHANGWE BLOG

No comments:

Post a Comment