Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 14 May 2014

RONALDO KUIONGOZA URENO KOMBE LA DUNIA, KOCHA ATAJA KIKOSI CHA AWALI CHA WACHEZAJI 30

URENO imetaja kikosi chake cha awali cha wachezaji 30 kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil, huku nyota wa Real Madrid na mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo akiongoza jahazi.
Ronaldo na Ureno yake wapo kundi moja na Ujerumani, Marekani na USA na wataanza kampeni zao za kusaka ubingwa dhidi ya Ujerumani juni 16 mwaka huu.
Kocha mkuu Paulo Bento ametaja kikosi cha awali cha wacheza 30 kitakachopunguzwa mpaka kufikia 23 tayari kwa safari ya Brazil.
Ronaldo ameitwa pamoja na nyota wenzake wa Real Madrid, Simon Pepe na Fabio Coentrao.
Wakati huo huo mchezaji wa Porto, Ricardo Quaresma amejumuishwa baada ya kureja katika klabu yake ya zamani mapema msimu huu.
Kusoma zaidi bofya kikosi cha Ureno bofya  www.bkmtata.blogspot.com

 CHANZO FULL SHANGWE BLOG

No comments:

Post a Comment