Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 17 May 2014

MOURINHO ASEMA ATAWAPA NAFASI AKINA ADAM NDITI MUDA MUAFAKA UKIFIKA, ATAMANI KUKAA CHELSEA KWA MIAKA 10

article-2630710-1DEC12B600000578-880_634x377Muda wa maswali: Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho alifanya mahojiano ya  Q&A kupitia akaunti ya twita ya Yahoo Sport siku ya ijumaa.article-2630710-1D97A26700000578-35_634x381JOSE Mourinho amesema kuwa atawapa nafasi wachezaji vijana katika  kikosi chake cha kwanza muda muafaka utakapowadia.
Kikosi cha vijana cha Chelsea kilishinda kombe la FA kwa vijana kwa mara ya tatu ndani ya miaka mitano baada ya kuwafunga Fulham mabao 7-6 kwenye mechi mbili mapema mwezi huu, lakini wachezaji wengi wa kikosi hicho cha vijana wameshindwa kuingia kikosi cha kwanza cha Mourinho.
Alipolizwa kama vijana wake wenye mafanikio wataingizwa kikosi cha kwanza, Mourinho katika mahojiano ya maswali na majibu, Q & A kwa njia ya Twita na mtandao wa michezowa Yahoo,  alijibu kuwa; “Nawahitaji kwa muda muafaka. Sitaki waingie halafu wasifanikiwe”.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment