Pages

Pages

Pages

Friday 16 May 2014

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI JANA MJINI DODOMA

PG4A9305Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa  Nkasi Kaskazini, Ally Keissy Mohamed, bungeni mjini Dodoma Mai 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9316Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare  (kulia) akizungumza na  Mbunge wa Ileje, Aliko Kibona, bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9343Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A9393Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9391Waziri wa Katiba na Sheria, Dr.Asha-Rose Migiro  akisoma hotuba ya bajeti ya Wizara  yake bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment