Pages

Pages

Pages

Friday 16 May 2014

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MSIMBAZI MSETO KWENYE KITUO CHA WATOTO WENYE USONJI (AUTISM)

IMG_0068Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akimkumbatia mtoto mwenye matatizo ya usonji (autism)  wakati alipotembelea  kwenye kituo cha Msimbazi kilichoko wilayani Ilala tarehe 15.5.2014.
IMG_0143Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha na watoto Abdallah Athuman (kulia) na Nasma Jumanne (kushoto) wenye matatizo ya usonji  (autism) wakati alipotembelea kwenye Shule ya Msingi Msimbazi Mseto tarehe 15.5.2014.
IMG_0204IMG_0207Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kuimba na kucheza na watoto wenye matatizo ya usonji (autism),wazazi na walimu wakati alipotembelea  Shule ya Msingi Msimbazi Mseto  tarehe 15.5.2014.IMG_0251 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na walimu na wazazi (hawapo pichani) wa watoto wenye matatizo ya usonji (autism) wanasoma katika Shule ya Msingi Msimbazi Mseto mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kituo cha kuwaelimisha watoto hao tarehe 15.5.2014.
IMG_0264Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wafanyakazi wa Shule ya Msingi ya Msimbazi Mseto iliyoko katika wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam.
PICHA NA JOHN  LUKUWI 
 CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment