Pages

Pages

Pages

Thursday 22 May 2014

MAN UNITED WAMWAGA PAUNDI MILIONI 20 KWA TONI KROOS BAADA YA VAN GAAL KUBARIKI, ARJEN ROBBEN AINGIA KWENYE RADA

Manchester-bound: United have agreed a deal with Bayern Munich for midfielder Toni Kroos (centre)
United wamekubaliana na Bayern Munich kuuziana Toni Kroos (katikati).
MANCHESTER United  amekubaliana dili la kumsajili kiungo wa Bayern Munich,  Toni Kroos na sasa wanajipanga kuiwinda saidi ya mchezaji mwenzake, Mholanzi Arjen Robben.
Kross alikubaliana na ofa ya paundi milioni 20 na aliyekuwa kocha wa Manchester United, David Moyes na mrithi wake ambaye aliyewahi kuwa kocha wa Bayern Munich, Louis Van Gaal amebariki dili hilo kuendelea.
Kroos, 24, aling`ara wakati wa utawala wa Van Gaal katika klabu ya  Bayern na bado anahitaji kufanya kazi na kocha  wake wa zamani.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment