Pages

Pages

Pages

Thursday 22 May 2014

BREAKING NEWZZZZ! WAGONGA NYUNDO MBEYA CITY FC KUKWEA PIPA KUELEKEA SUDAN

IMG_1150
Na Baraka Mpenja wa fullshangweDar es salaam
HATIMAYE safari ya Mbeya City fc kwenda kushiriki michuano mipya ya CECAFA Nile Basin Cup nchini Sudan imekamilika baada ya kutumiwa tiketi za ndege.
Kocha msaidizi wa klabu hiyo Maka Mwalyisyi amezungumza na mtandao huu dakika chache zilizopita na kueleza kuwa wamepokea tiketi na wanaanza safari alfajiri ya kuamkia kesho na wanatarajia kufika Sudan kesho ijumaa  majira ya saa 11:00 asubuhi kwa saa za huko.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment