Imeandikwa na Daniel Mbega ''Mnyama''
![]() |
Edin Dzeko alipoifungia Man City goli lake la kwanza |

Dzeko akishangilia baada ya kufunga goli

Dzeko baada ya kupachika goli la tatu

Barkley akishangilia baada kuifungia timu yake goli la mapema katika dimba la Goodison Park

Wachezaji wa Everton wakimpongeza Barkley baada ya kupachika goli

Barkley akishangilia baada ya kufunga goli la kwanza

Powerful: Sergio Aguero alipoifungia goli Man City mnamo dakika ya 22 nakufanya matokeo kuwa 1-1

Aguero akipata matibabu baada ya kuumia, hali yake ilikuwa mbaya na kusababisha kutolewa nje

Tim Howard aliposhindwa kuzuia mpira wa Dzeko na kukubali goli la tatu



Martin Demichelis akimkumbatia Joe Hart (mwenye jezi nyeupe) baada ya kuwa mbele kwa magoli 3-2

risasi: Romelu Lukaku alipomalizia kichwa kizuri na kufanya matokeo kuwa 3-2

Lukaku akiwapa moyo wachezaji wenzake baada ya kulipa goli la pili

Kocha wa Everton, Roberto Martinez akitoa maelezo kwa wachezaji wake baada ya kulipa goli la pili

Barkley (kushoto) akigombania mpira huku Gael Clichy (kulia) akijaribu kuuchukua mpira huo

Dzeko alipoumia na kusababisha mpira kusimamishwa kwa muda, Mwamuzi wa mtanange huo alimzawadia straika huyo kadi ya njano kwa kuwa alifanya maksudi

McCarthy (kulia ) akimzidi nguvu Yaya Toure na kuokoa mpira huo kwa kichwa

Beki wa Manchester City, Pablo Zabaleta (kushoto) akipambana na Steven Naismith (kulia) wakati wakigombea mpira
Nyuso za watu maarufu zilionekana katika mtanange huo,: Roy Hodgson (kulia) na Noel Gallagher walikuwa katika dimba la Goodison Park kushuhudia vita hiyo.

Pablo Zabaleta alipokosa goli

Wachezaji wa Man City wakishangilia baada ya ushindi wa magoli 3-2

Joe Hart akishangilia baada ya ushindi huo




No comments:
Post a Comment