Pages

Pages

Pages

Tuesday 13 May 2014

BRENDAN RODGERS AKIMBIZA ENGLAND, ANYAKUA TUZO YA KOCHA BORA WA MWAKA YA LMA

Award: Liverpool boss Brendan Rodgers was crowned the LMA Manager of the Year on Monday nightKOCHA wa Liverpool, Brendan Rodgers ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka ya LMA baada ya kufanya kazi nzuri msimu huu na kuwa kocha wa kwanza wa majogoo wa jiji kutwaa tuzo hiyo.



Bosi huyo wa Liverpool amefurahia msimu wake Anfield kwa kuiongoza klabu hiyo kumaliza katika nafasi ya pili, huku akipambana mpaka mechi ya mwisho na kupigwa bao na Manchester City waliofanikiwa kutwaa `ndoo`.

CHANZO FULL SHANGWE BLOG

No comments:

Post a Comment