Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 3 May 2014

BAADA YA MOURINHO KUMPA VIDONGE VYAKE HAZARD, CHEKI JALAMBA LA KUWAKABILI NOWRICH JUMAPILI DARAJANI

Speaking out: Hazard (left) had been quoted saying Chelsea 'aren't set up to play football'
Amebwatuka: Hazard (kushoto) alikaririwa akisema Chelsea hawafundishwi kucheza mpira wa kisasa

Twisted: Mourinho believe that Hazard's words about tactics had been 'transformed' by the media
Big Bosi: Mourinho anaamini maneno ya Hazard yamebadilishwa na vyombo vya habari

Solo: Hazard has been in superb form for Chelsea this season but didn't like how they set up on Wednesday
Mkali: Hazard amekuwa akitokea benchi zaidi msimu huu, lakini hakupenda jinsi walivyocheza jumatano dhidi ya Atletico Madrid

Getting stuck in: John Terry was unable to stop Atletico but will hope to contribute in the league
Nahodha karudi: John Terry alishindwa kuwazuia Atletico, lakini anaweza kusaidia katika mechi za ligi

chanZo mpenja blog

No comments:

Post a Comment