Pages

Pages

Pages

Saturday 8 February 2014

PEPO LINAPOGOMA KUTOKA... HADHARANI!

 
 
 
 
 
 
 
 
 
Waungwana hawa wamenaswa na kamera yetu leo hii pale stendi ya Mafinga wakimuombea binti huyo mwenye matatizo ya akili ambaye walisema anasumbuliwa na pepo. Mambo yenyewe ni kama yanavyoonekana kwenye picha hizi.

No comments:

Post a Comment