Pages

Pages

Pages

Saturday 7 December 2013

USIOMBE KUPATA AJALI HIFADHINI, MAANA HATA WAFALME WA MWITU NAO WANAKUOTEA


 Gari hili linadaiwa kupata ajali tangu Jumatatu katika Hifadhi ya Serengeti, lakini mpaka leo hii wakati tunatoka huko lilikuwa bado halijatolewa. Hatukuweza kupata taarifa mara moja kama kuna watu waliopoteza maisha ama majeruhi na sababu hasa ya ajali hiyo.





No comments:

Post a Comment