Pages

Pages

Pages

Sunday 8 December 2013

NATURE, MZEE YUSUF, TUNDAMAN, KHADIJA KOPA, SNURA, WAWASHA MOTO SHOO YA SAYONA TWIST DAR LIVE

Juma Nature akiwapagawisha mashabiki wake Dar Live.

Mzee Yusuf akizikonga nyoyo za mashabiki.
Tunda Man nae akikamua.
Malkia wa Mipasho nchini, Khadija Omar Kopa akiwapagawisha mashabiki.
Snura Mushi ‘Mamaa wa Majanga’ na kundi lake wakitoa burudani.
KR Muller wa kundi la Wanaume Halisi akifanya mambo jukwaani.
Bambo akionyesha umahiri wake wa kukata mauno.

No comments:

Post a Comment