RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA( ICAO) WAKATI ALIPOMKARIBISHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014. Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014.Kushoto ni Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe, pamoja na viongozi wakuu wa TCAA. Rais Jakaya Kikwete akiagana na mgeni wake Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, baada ya kumalizika kwa maongezi yao ya kikazi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana
No comments:
Post a Comment