Pages

Pages

Pages

Tuesday, 25 March 2014

MKUU WA MKOA WA MARA AANGUKA GHAFLA, YUKO MAHUTUTI

 John Tupa, Mkuu wa Mkoa wa Mara

Habari za uhakika zilizopatikana hivi punde ni kwamba mkuu wa mkoa wa mara John Tupa ameanguka ghafla na kutokwa na povu Wakati akitoka nje ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya (DC) Tarime na kuelekea kupanda gari yake tayari kuanza ziara ya Tarime.

CHANZO: WANABIDIII

No comments:

Post a Comment