LEO 'NITAKUWA' NA MARIJANI RAJABU KATIKA 'SANAA NA WASANII' KUPITIA KWANZA JAMII RADIO
Usikose kukisikiliza kipindi hiki kupitia KwanzaJamii Radio, radio ya mtandaoni inayopatikana kupitia www.brotherdanny5.blogspot.com, www.mjengwablog.com, na http://www.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio kuanzia saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. USIKOSE kuisikia historia yake na kazi zake nyingi alizozifanya enzi ya uhai wake. Daniel Mbega Iringa, Tanzania 0715 070109
No comments:
Post a Comment