
Upinde wa Mvua! Tunaambiwa ndilo Agano ambalo Mungu aliweka na Mwanadamu kupitia kwa Nabii Nuhu baada ya gharika kuu kwamba kamwe hataleta tena gharika juu ya uso wa nchi. Huu ni upendo mkubwa wa Mungu kutupatia ishara hii kila mvua inaponyesha na unaonyesha ukuu wake.

No comments:
Post a Comment