Pages

Pages

Pages

Tuesday, 11 March 2014

BUNGE HILI HALINA NIDHAMU, HEBU ANGALIA MWENYEWE

"Haloo, wee mpuuzi usinipigie huoni niko Bungeni eboh...!" "Aisee hao IPTL wasinisumbue, waambie nikija huko... watanikoma...!" "Safi sana mkuu, lazima uwapige mkwara!"

Hii ndiyo tafsiri ya picha hii ndani ya Bunge la Katiba, ambapo hakuna nidhamu kabisa kama inavyoonekana waheshimiwa wakitwanga simu bila wasiwasi wowote. Nidhamu ya chombo hicho nyeti imeendelea kutoweka kila siku na sasa Bunge limekuwa kama kijiwe cha malumbano na soga... Mwalimu Nyerere uko wapi????

No comments:

Post a Comment