Hiki ni kikundi cha ufugaji nyuki katika Kijiji cha Ilindi, wilaya ya Bahi mkoani Dodoma ambacho kimefaidika na mikopo na elimu ya stadi za ujasiriamali zinazotolewa na Shirika la Viwanda Vidogo nchini (SIDO) mkoani humo. Wengi wamenufaika na mikopo hiyo.
Tukitumia vyema rasilimali zetu, hasa misitu, zinaweza kutuletea tija kubwa.
No comments:
Post a Comment