BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAFANA NDANI YA DAR LIVE
Washiriki wakimalizia mbio zao kutokea Uwanja wa Taifa mpaka Ukumbi wa taifa wa Burudani wa Dar Live.
Klabu mwenyeji, Kejo Community wakiwa jukwaani wakicheza kwa furaha katika Bonanza hilo.
Msanii wa Msondo Music Band, Hassan Moshi (mwenye Mic) akikosha nyoyo za wana Jogging waliohudhuria kwenye Bonanza la Jogging & Global Breaking News jana Jumapili.
Timu ya klabu ya Jogging ya Magenge 20 wakipepetana na Spurs (jezi nyeupe) katika mchezo wa pete hatua ya nusu fainali, katika bonanza hilo.
Wacheza drafti John Gwile (kushoto) na Mohamed Abdallah wakichuana kwenye Bonanza la Jogging & Global Breaking News jana Jumapili.
No comments:
Post a Comment