SIRI
ya muonekano mzuri wa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’
imefichuka baada ya kubainika kuwa, amekuwa akifanya mazoezi kila siku
kwa kwenda gym.
Lulu alianika siri hiyo hivi karibuni kupitia mtandao wa instargram kwa kutupia picha zikimuonesha akiwa kwenye tizi na baadae alipozi na kujifotoa picha ambazo zilimuonesha akiwa na umbo la kuvutia zaidi huku zikisindikizwa na maneno yasemayo; ‘ndiyo siri ya urembo’.
Hata
hivyo, baadhi ya watu walioziona picha hizo walimpongeza kwa uamuzi
wake huo huku ushauri pia ukitolewa kwa kila mmoja kujali afya yake kwa
kufanya mazoezi pale muda unapopatikana.
CHANZO: http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/siri-ya-figa-bomba-ya-lulu-yafichuka
Lulu alianika siri hiyo hivi karibuni kupitia mtandao wa instargram kwa kutupia picha zikimuonesha akiwa kwenye tizi na baadae alipozi na kujifotoa picha ambazo zilimuonesha akiwa na umbo la kuvutia zaidi huku zikisindikizwa na maneno yasemayo; ‘ndiyo siri ya urembo’.
CHANZO: http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/siri-ya-figa-bomba-ya-lulu-yafichuka
No comments:
Post a Comment