Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday, 10 July 2015

KUZIONA TANZANITE, YOUNG SHE-POLOPOLO 2000/=


Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake cwenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) kesho siku ya jumamosi itashuka dimbani uwanja wa Azam Complex kucheza na timu ya Taifa ya Zambia chini ya miaka 20 (Young She-Polopolo).

JK: BE PATIENT AS WE ASSESS ASPIRANTS FOR THE TOP OFFICE

President Jakaya Kikwete addresses the National Assembly in Dodoma yesterday.  Right is Speaker Anne Makinda.  PHOTO | EDWIN MJWAHUZI 
Dodoma. President Jakaya Kikwete yesterday asked CCM members seeking nomination as presidential candidates to bear with the party as it embarks on its vetting process.

HABARI NJEMA KWA WANAWAKE: DAWA YA KUPUNGUZA MAKALIYA SARATANI YA MATITI YAGUNDULIWA


Dawa inayouzwa kwa bei rahisi na ilio salama inaweza kuwasaidia nusu ya wanawake walio na saratani ya matiti kuishi kwa muda mrefu wanasayansi wanasema.

HATARI: MAPINDUZI MENGINE YAANDALIWA BURUNDI

Rais Pierre Nkurunziza
Mmoja wa viongozi katika mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kumpindua Rais Piere Nkurunziza ameiambia BBC kuwa waasi wao wamekuwa wakiwapa mafunzo polisi na askari kwa ajili ya jaribio jingine la kumwondoa rais Pierre Nkurunziza. 

DSTV TANZANIA YAFUTURISHA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA AL- MADINA

Mkuu wa kituo cha Kulelea Watoto yatima cha Al-Madina, Bi. Kulthum Juma akizungumzia kuhusu kituo hicho pamoja na kutoa shukrani kwa kampuni ya Multichoice Tanzania kwa kuendelea kukisaidia kituo cha hicho ambacho kina takribani watoto 68 na pia kituo hicho kipo eneo la Tandale kwa Tumbo jijini Dar.

AFRIKA KUSINI YAKABILIANA NA TABIANCHI KWENYE MIJI YAKE MIKUBWA

DSC_1900
Mkufunzi na mtafiti, Daktari John Odindi, kutoka chuo kikuu cha KwaZulu-Natal, Durban nchini Afrika Kusini (kulia) katika mahojiano maalum na mwandishi wa Habari mwandamizi wa modewjiblog.com, Andrew Chale kwenye mkutano wa wanasayansi juu ya mabadiliko ya tabianchi, unaoendelea kwenye ukumbi wa Makao makuu ya UNESCO, Paris, Ufaransa (Picha na Mpiga picha maalum)

Thursday, 9 July 2015

BODI YA UTALII TANZANIA YAANDAA ONESHO LA SITES KUFANYIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY OKTOBA MOSI JIJINI DAR ES SALAAM

Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji Bodi ya Utalii Tanzania, Devotha Mdachi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu Onesho la Sites litakalofanyika Oktoba Mosi hadi 3, 2015 Ukumbi wa Mlimani City. Kushoto ni Ofisa Mauzo Mkuu wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Lima Dsilva na  Meneja Huduma wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Dawit Mekonnen. 

WANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU WIKI YA USALAMA BARABARANI YA UMOJA WA MATAIFA DAR ES SALAAM LEO

 Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua semina hiyo Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk. Elias Kwesi.

TWIGA STARS YAPANGWA NA WENYEJI

Twiga Stars

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) leo limetoa ratiba ya fainali ya michezo ya Afrika (All African Games), ambapo Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) imepangwa kundi A pamoja na wenyeji Congo-Brazaville.

TFF YAUPONGEZA UONGOZI WA COASTAL UNION


Kikosi cha Coastal Union

Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia ametuma salama za pongezi kwa uongozi mpya wa klabu ya Coastal Union uliochaguliwa mwishoni mwa wiki. 

TANZANITE KUWAKABILI YOUNG SHE-POLOPOLO JUMAMOSI

Timu ya Taifa ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) itashuka dimbani siku ya jumamosi katika uwanja wa Azam Complex kucheza na timu ya U20 ya Zambia (The Young She-polopolo) katika mchezo wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za U-20 za Dunia mwaka 2016.

VILIO NA MAJONZI SINGIDA WAKATI MO AKIWAAGA WANANCHI WAKE!

IMG_7558
Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akiwapungia wapiga kura wake kama ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kutangaza kutogombea tena ubunge wa jimboni humo wakati wa mkutano mkubwa wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miaka 10 ya kuwatumikia wananchi wa Singida.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Wednesday, 8 July 2015

MKWASA AWASHUKURU WATANZANIA


Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Charles Boniface Mkwasa amewashukuru watanzania wote waliowapa sapoti katika mchezo wa marudiano dhidi ya Uganda uliochezwa mwishoni mwa wiki jijini Kampala.

MKURUGENZI MTENDAJI WA TBL AENDESHA MHADHARA CHUO KIKUU CHA STEFANO MOSHI


 Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu wa Chuo Kikuu cha Stefano Moshi (SMMUCO),Tawi la Moshi Mjini wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na SABMiller East Africa, Roberto Jarrin alipokuwa akitoa mhadhara wa masuala ya biashara na masoko chuoni hapo, mwishoni mwa wiki.

FFU WA NGOMA AFRICA BAND WAFUNGA KAZI MAMLING FESTIVAL, AUSTRIA

 FFU kazini Mamling Festival, Austria.

WAZIRI CHIKAWE ATANGAZA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA KUMI YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara yake katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne. Chikawe alisema kupitia taasisi zake yakiwemo Majeshi ya Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, Idara ya Wakimbizi pamoja na Idara zingine zilizoko chini ya wizara hiyo, imepata mafanikio makubwa hususani katika jukumu la msingi la ulinzi na usalama wa nchi jambo ambalo limewezesha nchi kuwa na amani na utulivu. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo, jijini Dar es Salaam juzi. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

KOZI YA MAKOCHA WA MAGOLIKIPA JULAI 13

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF litaendesha kozi ya makocha wa magolikipa nchini itakayofanyika Julai 13 - 17, 2015 jijini Dar es salaam.

CECEFA KAGAME CUP MEDIA ACCREDITATION


Maombi ya vitambulisho vya waandishi wa habari kwa ajili ya michuano ya CECAFA Kagame Cup 2015 yamefunguliwa rasmi kuanzia leo tarehe 7 Julai, 2015 katika tovuti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF.

MWESIGWA AFUNGUA SEMINA YA AIRTEL

Mwesigwa Celestine, Katibu Mkuu wa TFF


Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Mwesigwa Selestine jana amefungua semina ya makatibu wakuu wa vyama vya soka vya mikoa nchini  (FA's) kuhusu maandalizi ya michuano ya airtel.

DIAMOND PLATNUMZ KUPAMBA MKUTANO MKUBWA WA JIMBO LA SINGIDA MJINI VIWANJA VYA PEOPLE'S CLUB

11101348_827429087339981_3431616584413911623_n

SIKIKA JOB ADVERTISEMENT

         Join us in advocating for quality health services for all Tanzanians          

Introduction
Sikika is a non-governmental organization that advocates for quality health services for all Tanzanians. The organization works to ensure equitable and affordable quality health care services through social accountability monitoring of health systems at all government levels. For more information about Sikika please visit us at www.sikika.or.tz.

NAPE ASEMA, HAKUNA NAFASI YA KUKATA RUFAA KWA WATAKAOTEMWA

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama  cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye. 
Na Matilda Tarimo,Online
Dodoma.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakutakuwa na nafasi ya kukata rufaa kwa wanachama  wa chama hicho walioomba ridhaa ya chama kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya Urais iwapo majina yao yatakatwa.

Monday, 6 July 2015

KOMBE LA KAGAME: PENATI ZAINYIMA YANGA UBINGWA MBELE YA EL MERREIKH


Kikosi makini cha Yanga. Waliosimama kutoka kushoto ni Charles Boniface Mkwasa, Dotto Rutta Mokili, Hamisi Ramadhan Kinye, Joseph Fungo, Ahmad Amasha 'Mathematician', Abeid Mziba, Edgar Fongo na Muhidin Mohammed Cheupe. Waliochuchumaa ni Lawrence Mwalusako, Athumani Juma Chama, Isihaka Hassan 'Chukwu', Omar Hussein 'Keegan',  Juma Mkambi, Allan Shomari, Mohammed Yahya 'Tostao', Abubakar Salum. (Naomba mnisahihishe jamani).

WHY EAST AFRICAN FORESTS LIKELY TO DISAPPEAR


By  Bernard Lugongo, The Citizen Reporter
Zanzibar. High demand of timber in the market, over dependency on biomass energy as well as lack of effective inspections on forest products were among major factors fueling illegal timber trade in East Africa, experts noted. At their two-day meeting here in the Isles, the stakeholders called on the political will to address the problem.

CHAKA CHAKA: NYERERE WAS REAL SON OF AFRICAN CONTINENT

Yvone Ntombizodwa Machaka

By Peter Saramba The Citizen Correspondent
Arusha. South African music icon, Yvonne Chaka-Chaka, has urged the leaders in the continent to emulate Father of the Nation Mwalimu Julius Nyerere by fighting for the interests of their people.

TOUGH WEEK FOR CCM TO DECIDE PRESIDENTIAL CANDIDATE

CCM Central Committee members from Zanzibar (left to right) Haroun Ali Suleiman, Abdallah Shaaban Ramadhan, Muhammad Seif Khatib and Pandu Ameir Kificho wait for the start of the extraordinary CC meeting in Dodoma on Saturday.  PHOTO | EDWIN MJWAHUZI 
By The Citizen Reporter
Dodoma. CCM embarks on a series of meetings this week that will culminate in the naming on July 12 of the party’s candidates for the Union and Zanzibar presidencies in the forthcoming General Election.

KAMATI KUU CCM KUJADILI AHADI ZA RAIS AJAYE


Kamati Kuu Maalum (CC) ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imekutana kwa dharura mjini Dodoma kupokea, kuchambua na kutoa baraka kwa vipaumbele na ahadi za Rais ajaye vilivyoainishwa katika ilani mpya ya uchaguzi ya mwaka 2015. 

ZITTO KABWE AWATAJA VIGOGO 99 WALIOFICHA MABILIONI USWISI

Zitto Kabwe akizungumza na wananchi kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam Julai 4, 2015.

NA MOSHI LUSONZO
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, (pichani) ametangaza majina 99 ya Watanzania wanaodaiwa kuficha mabilioni ya Shilingi katika benki moja nchini Uswis.

DK. SLAA APEWA UCHIFU WA DAR KULIKOMBOA TAIFA

Dk. Wilbrod Slaa, Katibu Mkuu wa Chadema, akisimikwa kuwa Chifu wa Dar es Salaam.

NA ROMANA MALLYA
Wazee  wa Mkoa wa Dar es Salaam wamempa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, majukumu ya kuikomboa nchi kwa  mara ya pili kama alivyofanya mwalimu Julius Nyerere wakati akiitoa mikononi mwa wakoloni.

WABUNGE 42 UKAWA WATIMULIWA BUNGENI





ZAIDI YA WATU 600 WATOA MAONI JUU YA UTENDAJI KAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI

IMG_7241
Pichani ni muonekano wa Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa Tanzania ndani ya Karume Hall katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, ndani ya viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Pichani ni wananchi wakitembelea banda hilo na kupata taarifa mbalimbali za shughuli za Umoja huo nchini Tanzania.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

MODEWJIBLOG YANG’ARA MAONYESHO YA SABASABA HUKU IKITIMIZA MIAKA 7

IMG_6930
Pichani juu na chini ni Meneja Mwendeshaji wa tovuti ya Modewjiblog, Zainul Mzige akiwapa ufafanuzi wadau waliotembelea banda la tovuti hiyo lililopo MeTL Pavillion katika maonyesho ya kimataifa ya kibiashara ya Sabasaba yanayoendelea katika kiwanja cha Mwl. Julius Nyerere barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Bw. Zainul pia ametumia fursa hiyo kutaja umri wa tovuti hiyo ambapo amesema sasa inatimiza miaka saba(7) tangu ilipoanzishwa na kuwa inatarajia kuadhimisha “birthday”itakapofika mwezi wa tisa mwaka huu na amewataarifu wadau kukaa mkao kujiachia.

SHAMRASHAMRA ZA MANUNUZI YA BIDHAA KATIKA BANDA LA MeTL GROUP MAONYESHO YA SABASABA

IMG_6798
Ofisa Mtendaji wa Masoko wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE), Tawheeda Isaack, akisikiliza maoni kutoka kwa mmoja wa wananchi aliyetembelea banda la Kampuni ya MO Assurance lililopo ndani ya banda la MeTL Group katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kutimua vumbi kwenye viwanja vya Mwl. J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

STARS YAALIKWA CHAKULA CHA JIONI UBALOZINI


Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager jana jioni ilialikwa chakula cha jioni na ofisi ya Ubalozi wa Tanzania iliyopo jijini Kampala.

RAIS WA TFF AHUDHURIA KONGAMANO CANADA

Jamal Malinzi

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi anashiriki katika kongamano la Fainali za Dunia kwa Wanawake zinazofanyika Vancouver- Canada kwa siku tatu kuanzia tarehe 3 - 5 Julai mwaka huu.

SERENA NA VENUS USO KWA USO FAINALI YA WIMBLEDON LEO

Serena Williams akiwa uwanjani
Serena Williams na nduguye Venus wanatarajiwa kuvaana leo katika mchezo wa mzunguko wa nne wa mashindano ya Wimbledon.

BURUNDI YAMKATAA MPATANISHI MPYA

Abdoulaye Bathily ni mpatanishi aliyeteuliwa na UN kushughulikia mgogoro wa Burundi
Burundi imemkataa mwanadiplomasia wa pili aliyeteuliwa na Umoja wa Mataifa kutatua mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini humo. Chama tawala kimesema msuluhishi,Abdoulaye Bathily aliyeteuliwa mwezi uliopita anaegemea upande mmoja.

UGIRIKI WAPIGA KURA YA HAPANA

Raia wa Ugiriki wakifurahia kura ya HAPANA.
Maelfu ya raia wa Ugirik usiku wa leo wametawanyika katika mitaa ya mjini Anthens karibu na jengo la bunge, wakifurahia kura ya hapana waliyoipiga ambayo imeshinda kwa ya asilimia 60.

NDEGE INAYOTUMIA NGUVU ZA JUA YAVUNJA REKODI


Ndege inayotumia umeme wa jua imetua mjini Hawaii baada ya kuweka historia ya kuruka kilomita 7,200 katika eneo la pacific kutoka Japan.

Sunday, 5 July 2015

KOMBE LA KAGAME: SIMBA SC YATINGA FAINALI NA BAO MOJA TU!

Kikosi cha Simba SC katika miaka ya 1980.

Na Daniel Mbega wa www.brotherdanny.com
Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa mwaka 1981 yalifanyika katika miji ya Nairobi na Kisumu nchini Kenya kati ya Januari 18 na Februari Mosi. Mtandao wa www.brotherdanny.com utakuletea uchambuzi na dondoo mbalimbali za mashindano hayo tangu yalipoanzishwa mwaka 1974.

CHILE MABINGWA WA COPA AMERICA, ARGENTINA YALALA KWA MATUTA


Chile imewashinda Argentina kupitia kwa mikwaju ya penalti na kushinda kombe kubwa zaidi kati ya nchi za Marekani ya kusini la Copa Amerika.

NGOMA AFRICA BAND KUTINGISHA MAMLING FESTIVAL- AUSTRIA


Mining City, Austria
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni, yenye makao nchini Ujerumani, inatarijiwa kutumbuiza katika maonyesho makubwa ya muziki na utamaduni Mamling Festival  siku ya jumapili 5 Julai 2015 alhasiri katika viwanja vya Schlosspark, Mamling 3, Mining nchini Austria.

HILI NDILO TAMKO LA WAISLAMU WANAOITAKA CCM IMWAJIBISHE MADABIDA KWA KUMFANANISHA LOWASSA NA MTUME MUHAMMAD

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida.

TAASISI YA KIISLAMU YA IMAMU BUKHARY

TAMKO MAALUM KULAANI KITENDO CHA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM, UMFANANISHA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) NA NDUGU EDWARD LOWASSA

“CCM IMUWAJIBISHE NDUGU MADABIDA ILI KUZUIA MACHAFUKO YA KIIMANI NCHINI”



Ndugu Wanahabari,

Mnamo Siku ya Jumamosi tarehe 27.06.2015, mtangaza nia ya urais kupitia CCM, ndugu Edward Lowassa, alifika katika viwanja vya CCM Mkoa wa Dar es Salaam ili kutafuta wadhamini, hotuba kadhaa zilitolewa kabla ya mtangaza nia huyo kuzungumza.

SUKY CLASSIC BOUTIQUE YAINGIA MKATABA NA MEDO KUSAIDIA UTOAJI WA ELIMU MKOANI MOROGORO

 Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Taasisi ya Maendeleo Mkoa wa Morogoro, James Mbaligwe.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI LA MEDIA CAR WASH FOR CANCER LEADERS CLUB LEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akizindua zoezi la kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia fedha kwa waandishi wa habari ambao wana matatizo ya kiafya ikiwemo Saratani.

KOMBE LA KAGAME: YANGA YAKUTANA NA SIMBA FAINALI MARA 3, TIMU ZA NCHI MOJA ZIMEKUTANA MARA 9!


Na Daniel Mbega wa www.brotherdanny.com

RATIBA ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame, imekwishatolewa ambapo imepangwa kuanza Julai 18 na kufikia tamati Agosti 2, 2015 jijini Dar es Salaam.

LIGI DARAJA LA PILI KUANZA OKTOBA 17

Kwa kuzingatia marekebisho ya Kanuni ya Ligi Daraja la Pili (SDL) yaliyofanywa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hivi karibuni, SDL kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi manne ya timu sita sita kwa mtindo wa nyumbani na ugenini.

TTCL YASHINDA NAFASI YA KWANZA KATIKA SEKTA YA HABARI NA MAWASILIANO KATIKA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABASABA

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza katika sekta ya habari na mawasiliano Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Jotham Lujara.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza katika sekta ya habari na mawasiliano Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Jotham Lujara.