Pages

Pages

Pages

Monday 14 November 2016

TAIFA STARS ILIPOTANDIKWA 3-0 NA ZIMBABWE

Mshambuliaji wsa Taifa Stars, Elius Maguri akichuana na beki wa Zimbabwe, Hadebe Teenage katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe leo. Tanzania ilifungwa mabao 3-0.

Beki Michael Aidan wa Tanzania akijiandaa kumtoka mchezaji wa Zimbabwe, Danny Phiri katika mchezo huo.


No comments:

Post a Comment