![]() |
Baraka DaPrince akitumbuiza mbele ya umati wa wakazi wa Mbeya waliojitokeza katika tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia Jumapili. |
![]() |
Benpol katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia Ijumaa |
![]() |
JohMakini akitumbuiza katika tamasha la Tamasha la tigo fiesta |
![]() |
Jux |
![]() |
![]() |
Mr blue akitumbuiza umati wawakazi wa Mbeya waliojitokeza katika viwanja vya Forest Mbeya |
![]() |
![]() |
Wasanii Roma Mkatoliki na Stamina
wakionesha umahiri wao wa kufokafokakwakupokezana kwenye tamasha la Tigo fiesta
lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usikuwa jumapili.
|
![]() |
Mashabiki wakimshangilia Roma Mkatolili |
![]() |
Maelfu ya wakazi wa Mbeya wakifurahia burudani toka kwa wasanii waliotumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta |
![]() |
Weusi wakilishambulia jukwaa la Fiesta |
No comments:
Post a Comment