Pages

Pages

Pages

Wednesday 7 September 2016

UKAWA UMEZIKWA, UKUTA UMEPOROMOKA!

Na Daniel Mbega
ULE Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ulizikwa rasmi Machi 22, 2016 pale Karimjee wakati Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta) umeporomoka kabla hata ya kuusimamisha, hivi ndivyo ninavyoweza kusema.
Wakati ambapo Ukawa umekufa baada ya kutimiza miaka miwili kamili, Ukuta umeporomoka kabla ya kujengwa katika kipindi cha mwezi mmoja na nusu – kuanzia Julai 27 hadi Agosti 31, 2016.
Ukawa ulianzishwa rasmi Aprili 16, 2014 baada ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka vyama vinne vya upinzani – Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD – kususia vikao kwa madai kwamba kulikuwa na mpango wa kuichakachua Rasimu ya Pili ya Katiba iliyoandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo iliongozwa na Jaji mstaafu Joseph Warioba.
SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment