MKOA WA SHINYANGA WATOA ZAIDI YA MILIONI 41KUSAIDIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO KAGERA.
Mkuu
wa mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Telack (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa
Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salim Kijuu (kulia) baadhi ya misaada iliyotolewa
na wananchi wa mkoa wa Shinyanga kwa waathirika wa tetemeko la ardhi Kagera.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu
Salim Kijuu akitoa shukrani baada ya kupokea misaada kutoka mkoa wa Shinyanga
Mkuu
wa mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Telack (kulia) akitoa maelezo kuhusu msaada wa
vifaa vya ujenzi na chakula kutoka kwa wananchi wa Mkoa wa Shinyanga. Kulia ni
Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msovela.
No comments:
Post a Comment