Pages

Pages

Pages

Monday 12 September 2016

AFRICAN LYON KUPEPETANA NA MBAO FC LEO

African Lyon ya Dar es Salaam leo Septemba 12, 2016 itaikaribisha Mbao FC kwenye mchezo Mchezo huo Na. 28 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaofanyika Uwanja wa Uhuru jijini. Mara baada ya mechi hiyo, raundi ya tano itafanyika mwishoni mwa wiki ijayo kadiri ya ratiba.

No comments:

Post a Comment