Pages

Pages

Pages

Thursday 12 May 2016

'TAIFA KWANZA!' HAIKUWA HEWANI KWA SIKU MBILI - SAMAHANI WADAU!

Kwa kipindi cha saa 42, blogu yenu maarufu ya 'TAIFA KWANZA!' haikuwa hewani. Hali hiyo imetokana na tatizo la kiufundi ambalo lilijitokeza kwa kipindi hicho.
Tatizo hilo kwa sasa limekwishapatiwa ufumbuzi na tuko hewani kama kawaida.

Tunawataka radhi sana wasomaji wetu ambao mmeshindwa kupata taarifa muhimu katika kipindi hicho.

Ingawa matatizo kama haya hutokea kama ambavyo binadamu pia anaugua, lakini tunawahakikishia wasomaji wetu kwamba, pindi yanapojitokeza tutawataarifu mapema.

Kwa masikitiko makubwa tena, TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU MLIOUPATA.

Administrator!

No comments:

Post a Comment