Muonekano wa Ofisi za ardhi katika Halmashauri ya jiji la Mbeya zikiwa katika sura ya kupendeza ,nani ofisi nyeti sana katika halmashauri hiyo ,jambo la kusikitisha ofisi hizo ukizitizama kwa muonekano wa mbele ni ofisi nzuri sana lakini kwa muonekano wa nyuma ni aibu ,mazingira yake si rafiki na huduma zitolewazo katika ofisi hizo-Swali wahusika wanalijua hilo ua bajeti ya ukarabati haipo sawa sawa.Picha EmanuelMadafa-Jamiimojablogu) |
No comments:
Post a Comment