Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna ambavyo Hospitali Binafsi ziotakavyonufaika na mikopo nafuu ambayo itatolewa kwa wahitaji mara baada ya kupata mafunzo na ushauri toka kwa mfuko wa MCF. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa MCF, Bi. Dolfing- Vogelenzang. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe. |
No comments:
Post a Comment