Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 6 March 2016

MBUNGE WA MOSHI MJINI ATEMBELEA MASOKO

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael akisalimiana na wafanyabiashara wa soko la Pasua alipofanya ziara ya kutembelea masoko yaliyopo katika mji wa Moshi kusikiliza kero za wafanyabiashara hao.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya wakitembelea soko la Mbuyuni kusikiliza kero mbalimbali pamoja na kuona namna bra ya kuboresha masoko hayo.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akimsikiliza kiongozi wa soko la Mbuyuni aliyefahamika kwa jina la Lameck ,wakati Mbunge huyo alipofanya ziara ya kutembelea masoko ya mjini Moshi akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi,Raymond Mboya.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi, Raymond Mboya wakitembelea soko la Mbuyuni kusikiliza kero mbalimbali pamoja na kuona namna bra ya kuboresha masoko hayo.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya wakitembelea soko la Majengo  kusikiliza kero mbalimbali pamoja na kuona namna bra ya kuboresha masoko hayo.

No comments:

Post a Comment