Pages

Pages

Pages

Saturday 6 February 2016

RAIS MAGUFULI AZINDUA MWAKA MPYA WA KIMAHAKAMA (SIKU YA SHERIA) JIJINI DAR

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma hotuba yake kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo Jumatano February 4, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo Jumatano February 4, 2016.

No comments:

Post a Comment