Pages

Pages

Pages

Monday 4 January 2016

KUHAMA OFISI ZA BODI YA LIGI


Kwa Wahusika Wote,

Salaam,

Napenda kuwafahamisha kuwa ofisi za Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) zimehamia Kurasini, Barabara ya Mandela mkabala na Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuanzia leo (Januari 4, 2016).
Ofisi mpya ziko katika ghorofa ya pili, Jengo lililokuwa Makao Makuu ya NHC. Jengo hilo kwa sasa pia lina ofisi za NHC Mkoa wa Temeke.

Wasalaam,

Boniface Wambura
Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO)
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) 

No comments:

Post a Comment