Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo kulia akimuonyesha
takwimu mbalimbali za sekta ya filamu Mh. Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura zinazohusu sekta ya filamu
wakati wa ziara aliyoifanya Mh. Naibu Waziri katika bodi hiyo. (picha na
Benjamini Sawe-WHSUM).
Pages
▼
Pages
▼
Pages
▼
Thursday 31 December 2015
NAIBU WAZIRI WA HABARI ATEMBELEA MAELEZO
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia
Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na
Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza
picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo, kushoto
ni Afisa Habari Mkuu Anna Itenda.(picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia
Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na
Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza
picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idara hapo leo, kushoto ni
Afisa Habari Mkuu Anna Itenda.(picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia
Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na
Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza
kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara
Idarani hapo leo.(picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia
Wambura kulia akimkabidhiwa moja ya vipeperushi vinavyotolewa na Bodi ya Filamu
Tanzania ambavyo vina lengo vya kuwaelimisha wasanii, anayemkabidhi ni Katibu
wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo. (picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia
Wambura kulia akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi
Joyce Fissoo juu ya utendaji kazi wa Bodi Hiyo wakati Mh. Waziri alipofanya
ziara katika Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam. (picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
No comments:
Post a Comment