Pages

Pages

Pages

Friday 11 December 2015

MAHAFALI YA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA YAFANA DAR

Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Felister Kulaya, Janeth Maleto, Eliza Hollo na Oscar Uwesu wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.

 Wahitimu wa Stashahada ya Uhasibu (DA) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Janet na Edna wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Stashahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.
 Wahitimu wa Shahada ya Ugavi(BPLM) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.
 Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) na Ugavi (BPLM) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Josephat Mwashimaha,Steven Lucas,Evelyn Ngachengo na Agness mchaa wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.
 Wahitimu wa Shahada ya Rasilimali watu (BHRM) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Anna Masimba,Tumaini Mwalyoga,Beatrice Shoo,Flora Katanzi,Nuru Makumulo na Abdi Katanzi wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu (BAC) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Hassan Msakamali,Joseph Paschal,Amri Ngoi na Richard LIfa wakiwa katika picha ya pamoja na Mhadhiri wao Dkt.Kato Mpanju Rugaitika wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.
Picha zote kwa hisani ya Masama Blog...
masamablog@gmail.com

No comments:

Post a Comment