Pages

Pages

Pages

Sunday 1 November 2015

HAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE HARITH JAHA WA 93.7 JEMBE FM MWANZA.

Ni mapambanaji na mwanalibeneke asie na makuu katika taaluma ya Habari hapa nchini, akiwa amefanya kazi na vituo mbalimbali vya Radio pamoja na kujishindia tuzo mbalimbali za uandishi wa Habari akiwa na Afya Radio ya Jijini Mwanza.

Na:George Binagi-GB Pazzo
Anaitwa Harith Jaha Ally a.k.a Mr.Credit, kwa sasa akiwa ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari wa 93.7 Jembe Fm Mwanza. 
Alizaliwa 0ctoba 30 miaka kadhaa iliyopita hivyo jana alizima mishumaa miiiiiiingi kweli kweli.
BINAGI MEDIA GROUP inapenda kukutakia Maisha Mema katika ukurasa wako mpya wa maisha yako maana ikizingatiwa kuwa kadri umri unavyoongezeka basi na busara zako zinazidi pia kuongezeka. 
Keep It Up!

No comments:

Post a Comment