Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akitoa maelezo kwa niaba ya
Tanzania kuhusu hali ya wakimbizi nchini katika Mkutano wa 66 wa Kamati ya
Utendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)
unaofanyika jijini Geveva nchini Switzerland leo. Katikati ni Mwakilishi wa
Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Balozi Modest Mero. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment