Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Peoples, mjini Singida jana, ambapo alilisitiza kwamba akishinda urais ataongeza ajira kwa vijana kwa kuwapa mikopo ya mitaji ya kuanzishia miradi mbalimbali ikiwemo ya ujenzi.NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwahesabia kupiga Push Up wagombea ubunge Mwiguru Nchemba wa Iramba (kulia), Musa Sima (katikati) wa Singida Mjini na Lazaro Nyalandu wa Jimbo la Singida Kaskazini jana wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Peoples mjini Singida
Dk Magufuli akikagua daraja la Msingi katika Kijiji cha Msingi wilayani Mkarama, Singida
Mkazi wa Kata ya Sepuka Singida Magaribi akiwa na mwanawe katika mkutano wa Dk Magufuli
Wananchi wakishangilia kwa furaha baada ya kumuona Dk Magufuli akatika Kata ya Ndago, wilayani Iramba
Mma mkazi wa Msigili akiwa na furaha baada ya kuuona Dk Magufuli
Wananchi wakikimbia kwenda kumuona Dk Magufuli alipowasili katika Mji wa Msigili wilayani Iramba
Nifuraha iliyoje kwa vijana hawa baada ya kumuona Dk Magufuli katika Mji wa Msigili leo
Kijana akimshangiliAa Dk Magufuli huku akiwa amebandika picha yake mgongoni
Baadhi ya wafanyabiashara wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli katika Mji wa Msigili ambapo alisema akishinda urais ataondoa kodi kwa wafanyabiashara ndogo ndogo
Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba, Mwigulu Nchemba mjini Kiomboi, Iramba
Dk Magufuli akionesha kadi ya mmoja wa viongozi wa Chadema ambaye amaehamia CCM NA ZAIDI YA WANACHAMA 200
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni katika Mji wa Nduguti wilayani Mkarama
Wanachi wakishangilia baada ya kukubali kumpigia kura Dk Magufuli katika Mji wa Nduguti wilayani Mkarama, Singida
Wazee wakikimbilia kumuona Dk Magufuli katika Kata ya Nkungi, Jimbo la Mkarama, Singida
Wananachi wakimshangilia Dk Magufuli alipozungumza nao katika mkutano wa kampeni Jimbo la Singida Kaskazini
Wananchi wakimshangilia Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Ilongelo, Jimbo la Singida Kaskazini
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Ilongelo,
Dk Magufuli akiteta jambo na Mratibu wa kampeni za CCM, Abdallah Majula muda mfupi kabla ya kuanza kuhutubia kwenye mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Peoples mjini Singida
Dk Magufuli akiteta jambo na Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba muda mfupi kabla ya kuanza kuhutubia kwenye mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Peoples mjini Singida
Wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni za CCM MJINI Singida
Nchemba akimnadi Dk Magufuli katika mkutano huo
No comments:
Post a Comment