Msanii Organ Tai kutoka Jijini Mwanza.
Na:George Binagi-GB Pazzo
BMG (Binagi Media Group) Chipukizi wa Leo ni kipengere kinachoibua wasanii chipukizi kutoka pande mbalimbali za Tanzania na kukufikishia popote pale ulipo na kupata fursa ya kuwafahamu Mastaa wajao hapa nchini.
Msanii Organ Tai anatamba kwa sasa na ngoma yake iitwayo Haina Noma so ISIKILIZE NA KUIDOWNLOAD NGOMA HIYO HAPA CHINI.
Msanii Organ Tai anatamba kwa sasa na ngoma yake iitwayo Haina Noma so ISIKILIZE NA KUIDOWNLOAD NGOMA HIYO HAPA CHINI.
No comments:
Post a Comment