Pages

Pages

Pages

Wednesday 9 September 2015

NGOMA AFRICA BAND KUVAMIA MARBELLA - SPAIN JUMAMOSI 12 SEPT 2015


Bendi maarufu barani Ulaya Ngoma Africa Band aka FFU- Ughaibuni inatategemewa kufanya onyesho maalumu katika Grande VIP siku ya Jumamosi 12 Septemba 2015, kule katika kisiwa cha mabwanyenye Marbella, kilichopo Spain. Bendi hiyo imealikwa na VIP Yatch Club ya Marbella.
Usikose kuungana nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

No comments:

Post a Comment