Pages

Pages

Pages

Tuesday 8 September 2015

MKUTANO MKUU TFF DISEMBA 19, 2015

Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa tarehe 06/09/2015 kilipanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015.

Ajenda za Mkutano zitakuwa ni kwa mujibu wa katiba ya TFF.

No comments:

Post a Comment